Pages

Subscribe:

Friday, 25 December 2015

Injili ya Amani: UTAWALA WA KIKUHANI

Ashukuriwe Mungu baba kwa upendo wake mwingi kwetu ametupatia mtoto wa kiume ambaye uweza wa kifalme u begani mwake.
DANIEL 7:14 Naye akapewa mamlaka, na utukufu, na ufalme, ili watu wa kabila zote, na taifa zote na lugha zote, wamumikie.

Zaburi 100:1-5 mfanyieni Bwana shangwe, dunia yote. Mtumikieni kwa furaha ......!

Ni tar 25/12/2015 siku njema iliyopendeza machoni pa ulimwengu mzima ya kwamba
tuukumbuke upendo wa pekee wa Mungu aliyemtoa mwana wake kuuacha utukufu wake juu mbinguni na kuja duniani kwa jinsi ya mwili wa binadamu , akazaliwa kama mwanadamu ili tu atukomboe na kutuokoa!

Asante MUNGU kwa upendo wako kutupatia mtoto!

Isaya 9:6-7 maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa,
.......!
Ameeeen.

By Ev. Elimeleck S Ndashikiwe