WEWE NI NYUMBA YA MUNGU
(MAKAO YA MUNGU)
Hallelujah Mtumishi,
Biblia inasema ya kuwa unapompa Yesu maisha yako na kumwamini, unakuwa ndani yake na Yeye ndani yako wewe,
na pia MWILI wako unapata ‘HADHI’ au ‘HESHIMA’ ya kuwa NYUMBA/MAKAZI YA MUNGU ALIYE HAI….”
Je hamjui ya kuwa MIILI yenu ni hekalu la MUNGU,
na ya kuwa ROHO WA MUNGU anakaa NDANI yengu?”
1Kor 3:16-17, 1Kor 6:14-19
Biblia inaeleza ya kuwa Mungu anakaa sasa ndani ya MWILI wako…kwenye CELLS, TISSUE, ORGANS na System za mwili wako….
Je unadhani vimelea vya MAGONJWA vitaweza kuishi katika uwepo wa Mungu uliotuama ndani yako… unaotiririka ndani yako?
HAIWEZEKANI NA HAITAWEZEKANA KABISA KABISA.
By Ev. Elimeleck Ndashikiwe