Waumini kanisa la Pentekoste wakiwa katika ibada wakifuatilia mahubiri katika moja ya ibada iliyofanyika katika kanisa la Pentekoste Hema ya Sifa, Tegeta Dar es salaam
Kikundi cha kusifu na kuabudu kikihudumu katika ibada hiyo Hema ya Sifa , Tegeta Dsm
Ni mwendo wa kusifu tu na kuabudu
Hakika Mungu huketi mahali palipo na sifa za watakatifu
KICHO CHA MUNGU.
-
Peter na Jemimah Mabula Watenda kazi katika Shamba la MUNGU Mwenyezi Bwana
YESU KRISTO Mwokozi atukuzwe rafiki.Karibu Tujifunze Neno la MUNGU wa
Mbinguni....








0 comments:
Post a Comment