Waumini kanisa la Pentekoste wakiwa katika ibada wakifuatilia mahubiri katika moja ya ibada iliyofanyika katika kanisa la Pentekoste Hema ya Sifa, Tegeta Dar es salaam
Kikundi cha kusifu na kuabudu kikihudumu katika ibada hiyo Hema ya Sifa , Tegeta Dsm
Ni mwendo wa kusifu tu na kuabudu
Hakika Mungu huketi mahali palipo na sifa za watakatifu
MAMBO YANAYOLETA LAANA KWA MTU.
-
Na Mwl Peter Mabula Mtenda kazi katika Shamba la Bwana YESU KRISTO
Mwokozi Bwana YESU KRISTO Mwokozi atukuzwe rafiki yangu.Karibuni tujifunze
Neno la MUNG...







