God is my King,
Nampenda sana kuliko maelezo.
Ananitumia vile atakavyo, nami niko tayari.
Maana siwezi kutulia ikiwa Bwana amenipa agizo.
Ameeeeeen.
MKRISTO KUOANA NA MTU WA DINI NYINGINE NI MBAYA ZAIDI YA KUOANA MPAGANI.
-
Na Mwl Peter Mabula Mtenda kazi katika Shamba la MUNGU Mwenyezi Bwana YESU
KRISTO Mwokozi atukuzwe rafiki.Inawezekana hujaupenda ujumbe huu lakini
Jifunze...




0 comments:
Post a Comment