SEHEMU SAHIHI YA KUTOA FUNGU LA KUMI.
-
Na Mwl Peter Mabula Mtenda kazi katika Shamba la Bwana YESU KRISTO
Mwokozi Bwana YESU KRISTO Mwokozi atukuzwe Ndugu zangu wote.Karibu
tujifunze Neno la MU...
Sunday, 4 October 2015
REST IN PEACE PASTOR J MTIKILA
MCHUNGAJI MTIKILA AFARIKI DUNIA
Mwili wa Mchungaji Mtikila mara baada ya ajali
Gari alilokuwa Mchungaji Mtikila, dereva na mlinzi wake
Mwenyekiti wa Chama cha DP,Mchungaji Christopher Mtikila amepata ajali mbaya ya gari maeneo ya Chalinze na kufariki Dunia papo hapo.
Mtikila alikuwa na mlinzi na dereva na yeye Mtikila amefia pale pale na wengineo hali zao ni mbaya na kuwahishwa katika hospitali ya Tumbi.
RPC wa Pwani amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo eneo la Msolwa.
Mwili wa Mchungaji Mtikila umehifadhiwa hospitali ya Tumbi. Mwenyezi Mungu ampe mwanga wa milele. Amen!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




0 comments:
Post a Comment